Ni yangu iyo mkuu nakutumia namba yangu PM unirudishie 50,000 nyingine ubaki nayo..thanx in advanceView attachment 645338
Alituma kupitia NMB.
Ilikua mida ya saa tatu asubuhi.
Wakuu, nineaubiria kushika sim ya aliekosea hadi sasa holla.....
Msaada tafadhali
Be serious mkuuNi yangu iyo mkuu nakutumia namba yangu PM unirudishie 50,000 nyingine ubaki nayo..thanx in advance
KWA KUITAJA CHATO UMESHANITOA KWENYE HUU MJADALA MAANA UNATAKA NIWE MATATANI WEWEMkuu.. huku Chato sina nauli ya kwenda NMB, ndio maana nikaamua kurahisisha kwa upande huu
Hofu ondoa mkuu, sijawahi kupenda kujiweka matatani tangu nilipo jiunga jambo forums 2007. Na hii imenifanya nikaamua kuweka ushahidi hadharani.KWA KUITAJA CHATO UMESHANITOA KWENYE HUU MJADALA MAANA UNATAKA NIWE MATATANI WEWE
Safi sana kama in yeye hapo utamjua vinginevyo mmmmmmmmmUliituma kwenye namba gani?
Naomba unitajie namba uliyo itumia, then nitakurejeshea yote pesa mkuu