God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,068
- Thread starter
-
- #101
Pia mkuu sishangai hata kidogo maana mlivyo na uchu kama fisi maji naamin mtanichukia sana ila hayo ndo mapenzi yangu na nafurahi mno sababu ni chaguo la moyo wangu.Nenda kwa mbowe ukamshitakie otherwise kubaliana na nduguzo maisha yaendelee..Point to note.Huko chadema umenufaika nn?.all in all politics = ****'n game
Siasa haiwezi mwacha mtu salamaKwa maana hiyo mkuu sisi tulio na misimamo mikali upande wa upinzani hatueleweki?
Kwa sababu kikubwa hapa ni mimi kuwa Chadema.
Bora hapo kuliko kushabikia majizi na wauaji yasiyoridhika tangu enzi.Tatizo lako unashabikia majizi chadema
Kuhus dharau sidhani mm naona ni chuki binafsi kwamba unapokua sahihi watu wanaogopa kujisahihisha hivyo wanakaza ili wasionekane loser.Ukweli usopingika haipo na haitatokea jamii ya kumtenga mtu bila tatzo! Ila wewe unadharau kinachokutenganisha na ndugu refer wapi wapi umetoka na mliishije kabla ya kufikia hatua hii? Punguza kuwa mjuaji,shiriki matatizo ya nduguzako,pia kua na tabia ya kiushirikeli ila pole kwa hayo ! Usilaumu ulipodondokea bali laumu ulipojikwaaaa!
Asante mkuu mm ni mshabiki wa hiyo miondoko.Achana nao! Njoo Kijenge juu Arusha kwa Watengwa tule Hip Hop kavu!!
Kwa maana hiyo kikwazo ni misimayo yangu isiyoyumba.Ukweli usopingika haipo na haitatokea jamii ya kumtenga mtu bila tatzo! Ila wewe unadharau kinachokutenganisha na ndugu refer wapi wapi umetoka na mliishije kabla ya kufikia hatua hii? Punguza kuwa mjuaji,shiriki matatizo ya nduguzako,pia kua na tabia ya kiushirikeli ila pole kwa hayo ! Usilaumu ulipodondokea bali laumu ulipojikwaaaa!
Habari za wasaa huu wandugu,
Nahisi siko vizuri kisaikolojia naombeni msaada nilitengwa kijamii.Sipati ushirikiano kutoka kwa ndugu, marafiki zangu na jamii yangu kwa ujumla.
Hali hii imenifanya niogope kujichanganya kwa kuhofia kukosa ushirikiano.
Hakuna mawasiliano kati yangu mimi na ndugu zangu nikipiga hawapokei wala hawajibu SMS.I am tortured i need help.
Nimeshindwa hata kusoma na kupata mafanikio sababu muda wote nipo mwenyewe tuu nyumbani. Nawaza hivi nikiumwa ghafla hapa nani atanisaidia?
Nilimgundua mbaya wangu alie block mawasiliano kati yangu mimi na ndugu zangu hawa nikaachana nae sina ubavu wa kumwadhibu.
Mimi kimsingi ni chadema na wengi walitamani niwe ccm ila sitaki hivyo basi sina mda na siasa za Tanzania ili kuepusha chuki na watu nitakapokua upande wangu. Kwa msimamo wangu huo mengi yametokea na moja wapo ni hili la kutengwa, habari zangu za siri kuwa public na kadhia nyingi sana.
Nadhani misimamo yangu hii ndio chanzo cha yote haya...
Note: Mimi sina baya lolote nililofanya so msinihisi vibaya bali ni hivo.
Naombeni ushauri wenu ili niweze kuepukana na hii hali.
Ningeshaomba zamani mkuu.Haiwezekani huna baya lolote alafu watu wakutenge mkuu, lazima kuna chanzo hapo. Muhimu jirekebishe, kama kuna pa kuomba msamaha/palipo haribika basi fanya hvyo ili utengeneze
Sina hela mkuu ndio nazitafuta kama unavyoonaKama hela unayo hakuna tatizo mkuu.kufa kila mtu atakufa,hata huyo adui yako pia atakufa siku yake[emoji3]
Sina hela mkuu ndio nazitafuta kama unavyoona
Huko nakozitafuta siku kunatiwa nuksi kila kukicha sasa niishije?Ongeza speed,kwani unaogopa nin