Nipo najaribu ku apply diploma nataka cozi za kilomo nimelipia nacte naona ualimu na afya nomba kujuzwa wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnapokuwa mnajaribu kufanya kitu muwe mna uhakika umepata information za kutosha, Nacte walisema watapokea maombi kwao kwenye sector ya Afya na Teaching peke yake, hayo mengine yanayobaki maombi unatuma chuo husikaNipo najaribu ku apply diploma nataka cozi za kilomo nimelipia nacte naona ualimu na afya nomba kujuzwa wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, umeliwa hapo...
Ninaomba kuuliza, punguzo la maombi kwa Tshs. 10,000/= pia vyuo vya kilimo na mifugo vinahusika? Au bei ni ile ile 30,000/=
Vyuo vya kilimo wizara ndo ilipanga bei ya maombi, So kama lengo ni kuapply jaribu kulipia elfu 30 ileile... Manake unaweza kulipa elfu 10 ukajikuta hujachaguliwa aiseeNinaomba kuuliza, punguzo la maombi kwa Tshs. 10,000/= pia vyuo vya kilimo na mifugo vinahusika? Au bei ni ile ile 30,000/=
Lakini navyo si viko chini ya NACTE? au vyuo vingine chini ya Nacte ikoje?Vyuo vya kilimo wizara ndo ilipanga bei ya maombi, So kama lengo ni kuapply jaribu kulipia elfu 30 ileile... Manake unaweza kulipa elfu 10 ukajikuta hujachaguliwa aisee
Am not saying, power to you masterLakini navyo si viko chini ya NACTE? au vyuo vingine chini ya Nacte ikoje?
kuna nacte na TCULakini navyo si viko chini ya NACTE? au vyuo vingine chini ya Nacte ikoje?
Mati tumbi kuna kozi za kilimo tu hakuna mifugo mkuu... kozi za Mifugo zinatolewa vyuo vya LITAMr.
Ingia web hii hapa
matitumbi.blogspot.com
Nichuo mojawapo kinachotoa course ya kilimo na mifugo kipo Tabora Diploma na certificate
Sent using Jamii Forums mobile app
Mati tumbi hapo wanatoa General agriculture mkuu mm pia nimesoma pale...ahsanteMati tumbi kuna kozi za kilimo tu hakuna mifugo mkuu... kozi za Mifugo zinatolewa vyuo vya LITA
Kumbe we ni bwana shamba mkuu, basi fresh mwambaMati tumbi hapo wanatoa General agriculture mkuu mm pia nimesoma pale...ahsante
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndo hujui. Pale kuna kilimo na mifugo! Yaan general agricultureMati tumbi kuna kozi za kilimo tu hakuna mifugo mkuu... kozi za Mifugo zinatolewa vyuo vya LITA
Wewe ndo hujui. Pale kuna kilimo na mifugo! Yaan general agriculture
Sent using Jamii Forums mobile app