Msaada: Nimepigiwa na namba ya ajabu +888888888888

Msaada: Nimepigiwa na namba ya ajabu +888888888888

ntilavano

Senior Member
Joined
Mar 10, 2015
Posts
136
Reaction score
31
Amani iwe nanyi.

Wadau kama kichwa cha habari hapo juu mida hii ya jioni nimepigiwa na hiyo namba. Kani beep mara tatu mara ya nne nikapokea na kuongea nae ni mtoto wa kike anaongea kiswahili ila akanilaumu sana na kuniuliza kama nipo na baby nikamuambia sijamfahamu bado namba imekuja nanenane tu akasema poa kama nimefuta namba yake akuweza niambia ni nani akakata simu. So wadau naomba mwenye uzoefu na hizi namba anitoe wasiwasi.
Asanteni!!
 
Namba kama inavyoonekana nikiipigia wanasema siwezi kuunganishwa.
 

Attachments

  • 1449854615759.jpg
    1449854615759.jpg
    32 KB · Views: 1,997
Na nomewapigia watu wa tigo customer care wanasema hawajaona kama nimeongea na mtu wadau hiki kitu gani tena?
 
Una bahati sana nwanakwetu hilo ni jini nahaba soon utakuwa tajiri wa kutupwaaaa
 
Nenda kanisani ukaombewe maana hiyo namba bilishapata taarifa zake kuwa ni ya mashetani hasa pale wajenzi huru wakitaka kutoa kafara.inawezekana nyota yako imeng'aa kwao.
 
Nenda kanisani ukaombewe maana hiyo namba bilishapata taarifa zake kuwa ni ya mashetani hasa pale wajenzi huru wakitaka kutoa kafara.inawezekana nyota yako imeng'aa kwao.

Tuwage serious jamani mbona mnatabili vitu vya hovyo tu hamnitakii mema?
 
Tanzania hakuna code number kama hiyo mkuu badilisha line ni ushauri tu kisha nenda kanisani ukaombewe....!!!one lav
 
Back
Top Bottom