TONY MTAKAYOTE
Senior Member
- Jan 24, 2013
- 150
- 69
Hapa kazi tuMimi ni mwanafunzi mwaka wa kwanza, nimechaguliwa mech eng. Cha ajabu mkopo umetoka , nimekuta kwenye tuition fee wameweka 80,000/= kwa kweli sikuamini, nikarudia kama mara 3 hv. Ilikuwa kweli.
Ada ya chuo ni 1,020,000/=
naomben ushauri nifanye nini?
Maana wazee nao ni shida tu, hicho kiasi kilichobaki kinaniumiza kichwa sana.
Natanguliza shkrani.
Fanya kazi mkuu tujenge nchi.
#HapaKaziTu
Duh pole sana
Hapa kazi tu
Kama uko dar nenda board
Pole ndugu..magufuli selema....aliija
Shukuru mungu umepata japo boom wengine awajapata kabisa
usingepewa kabisa je ungesemaje....UKIBEBWA JISHIKILIE
nikiwakomalia wanaweza kuongeza?
Au mpaka kuandika barua?
Inaweza chukua muda gani kupata feedback?
Eng...ilibidi upate 100% ivo basi chukua karo yako ya advanced minus karo ya chuo chako kipya! Then ndio utakayolipiwa! Mfano kama advanced ulilipa karo 1300,000/- then chuo ni 1.2 then 1.3 - 1.2 utapewa laki tu. Watawala nadhani wanaita ability test....iyo kitu iko kwenye board directive manual yao kama sikosei!
Ushauri, kawaulizie vizuri, pia ikiwa ngumu then subiri meal allowances ndio ukate ulipe karo.
Pole ila HAPA KAZI TU