Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,110
- 3,271
Ebu weka matokeo yako na vyuo ulivyochagua. Mi nahisi competition imekutupa nje kama ufaulu wako ni kuanzia div 2 za mwisho alafu ukachagua vyuo vyenye competition kubwa kama UDSM, SUA, MZUMBE, ARDHI, MUHIMBILI utakuwa umechamalizwa kwahiyo utasubir second selection ambayo utaletewa vyuo vya private visivyo na hadhi kama vile Jordan, Archbipshop, Stella Maris, n.k kwa sababu hata vile vya private vizur vitakuwa vimeshajaa au kuondolewa ili na hivi vingine vipate. Hii ilitokea kwa dogo niliemuombea nafasi mwaka jana. Utahisi kukata tamaa ya kusoma ila utajikaza tu uende kama utapata mkopo ila ndo hivyo utakuwa kama umefungwa mdomo maana huwezi kutajataja chuo unakisoma kwa watu maana ni aibu.Oh No! I'm Gonna die in Vain!!! I fought Hard to get Higher Education, But at the End..... I'm a Loser!!!!