Msaada: Nimeona Kitu Kwenye Selection

Rajab_Omar

JF-Expert Member
May 15, 2016
16,447
27,098
Wakuu Habari Zenu!
Leo Naona Kwenye Profile Yangu Ya TCU wameniandikia Hivi:-
"Now Wait for Second Selection which is Expected on 31/08/2016"
Sasa Hapa Pamenipa Wasi Wasi Wa Kuhisi Kwamba Katika First Selection Nimetupwa Nje Ya Fence!
Kwa Wale Wazoefu Hebu Nifahamisheni Je, First Selection imeshafanyika? Au Huwa Wakiandika Hivyo Wanamaanisha Nini?
Screenshot_2016-08-24-11-27-02.png
 
View attachment 386836
hyo diploma au degree??
 
Duuh uliomba kupitia NACTE? Coz Mimi kuna ndugu yangu aliomba alichaguliwa first selection kwa category ya cheti na diploma sio bachelor akawa amechaguliwa! Sasa Jana amepewa nauli kwenda kufatilia Chuo alichochaguliwa kuingia kwenye profile yake amekuta ameandikiwa hivyo.Sasa ata hatuelewi mpaka mda huu afanyaje! Kama kuna mtu anaweza kutusaidia mawazo atusaidie tufanyeje?
 
Mimi Nimeshangaa Kukuta Napelekwa Kwenye Second Selection Bila Ya Hata First Selection Kuwa Announced!! What the hell is this??
 
Waliochaguliwa ni wale from form six...second selection ni kutoka diploma

Mkuu Sidhani Kama Upo Sahihi!!
Coz Sisi Diploma Holders Na Form 6 tumeaplyy Tukiwa Na Admission Capacity Zetu Tofauti. Kwahiyo Tuna Fisrt & Second Selection Zetu Mbali na Za Form 6.
 
Inamaana walochaguliwa wanaandikiwa chuo walochaguliwa ama..
mkuuu naona hujajua katika selection wanafanyaje hilo ndilo tatizo kuelewa selection zote kuanzia kidato cha tano wakuu wa shule au vyuo wanahusika
ina maana wao ndio hujua watachukua wanafunzi wangapi kwa mwaka huo KO TCU WANAVYODAI USUBIRI SELECTION YA PILI INA MAANA WAO KATIKA DATABASE YAO WAMESHAFANYA SELECTION YA KWANZA kwa kujua wanafunzi wangapi na wataenda wapi
hiyo ni data base yao BADO KUYATOA OFFICIALLY ILI KILA MWANAFUNZI AJUE ukiona hivyo soon first selection itatangazwa mkuu hope umeelewa kikubwa usihofu chuo unapata
 
Sasa wanawezaje kuchagua watu ikiwa siku ya mwisho ya kutuma maombi haijafika?je wengine hawezi kuchaguliwa tena ambao bado awajatuma maombi adi sasa?
 
Nauliza pia kuna mtu aliapply nacte diploma akaandikiwa congratuation umekiwa selected afu leo analog in anaona tena hamna chochote ni zile program alizoapply ndo zpo haionesh kama amechaguliwa
 
Nauliza pia kuna mtu aliapply nacte diploma akaandikiwa congratuation umekiwa selected afu leo analog in anaona tena hamna chochote ni zile program alizoapply ndo zpo haionesh kama amechaguliwa
Ilo tatizo ata ndugu yangu limemkuta asa sijui tatizo nini?
 
Back
Top Bottom