iddy eba
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 573
- 1,171
Mimi ni kijana wa 18yrs now, Nimemaliza kidato cha 4 2015 na nikafanikiwa kufaulu ila sikuchaguliwa kijiunga kidato cha tano.. Kwahiyo nikapanga ntaapply chuo lakini wazazi hawakuwa na pesa kwakweli., wamekuja pata now na wanambia nitafute chuo kwani wananihurumia kukaa nyumbani ambapo nipo tangu nimalize shule bila shughuli yoyote..
JE NAWEZA PATA CHUO KWA SASA?
JE NAWEZA PATA CHUO KWA SASA?