Beberu-mpya
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 216
- 106
- Thread starter
-
- #241
Aisee kaka yule mrembo c nilikutana nae kwa onetime coz nilisafiri kwenda mbeya kiutaftaji so nikatake guest so nikamuomba mdada ambae alikuwa anasimamia guest anitaftie mdada wa kuniblanket ndipo aliponiletea huyu mdada mrembo aloniambukiza hili Gono pia hata number ya simu hatukubadilishanapia kama una namba ya simu ya huyo mrembo mwambie aende hospitali akapate tiba kwasababu unaweza kuta dada ni mrembo sana lakini hajui kama ana huu ugonjwa simply because dalili za gono kwa mwanamke kama sijakosea huchukua muda mrefu sana mpaka kuonekana.Na ujinga wa wanaume wengi akiona tuu dada mrembo basi yeye ni nyama kwa nyama ikizingatia siku hizi hofu ya ukimwi imepungua sana kuliko UTI kwasababu uti mtu anaanza kujishtukia na kijasho fulani hivi tuu.pia hofu ya mungu ni ndogo sana kwa watu akiwa na watu anowajua anajidai mcha mungu ila akiwa gizani ni zaidi ya hao unao waita malaya au wadhinifu mungu atusaidie katika hili can u emagine mtu anagigwa game na mtu mwingine na ana toka maziwa kifuani tena bila kinga?basi haya yapo
Dah ww kijana dr nini?N vzur mkuu.. Ila akienda Hospital wata-treat as a syndrome ambayo Ndo dawa izo ... Probably wtafanya culture which might take a week
N Dr na pia am speaking from experience mkuuDah ww kijana dr nini?
Pole. Pata tiba halafu siku nyingine zingatia kingaHapana kaka hii ni usaha nimetoka kwa dr soon
Wakati kuna gono limeshamili miaka ya 70 hakukua na HIV ukimwi.mbona mnahusisha gono na HIV?Mbona umelileta hili siasani mkuu?
Usiache kupima na VVU maana gono na vvu ni kama anko na mjomba
Hakifanani na cha mzee?Mbona kama kina malengelenge, mweeee! jamani
Mkuu,.mm binafsi ckupi pole hata robo umejitakia mwenyewe yaani umevuna ulichopanda!!!HONGERA sana na ungetoa kabisa utomvu[emoji34]Nimekuwa kimya sana week iliyopita nilikuwa nimesafiri kidogo kwenda Mbeya kama kawaida ya Beberu-mpya nikamuona mtoto huyu ambae amenisabashia hii kitu, sasa jana ndo nimeona hali hii, nifanyaje?
Hahaahha pro ndumilakuwili .......................[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Wahi hospitali mkuu na hayo magonjwa ya gono huwa yanaenda sambamba na ngoma.
Sasa huu ugonjwa sawa unatibika, je UKIMWI utapona sasa ndugu yangu, yaani kweli kabisaaaaa mtu hata hata Hali yake ya maambukizi hujui unaenda hivyo hivyo. Dah kweli watu mna uthubutu, haya njoo inbox.Nimekuwa kimya sana week iliyopita nilikuwa nimesafiri kidogo kwenda Mbeya kama kawaida ya Beberu-mpya nikamuona mtoto huyu ambae amenisabashia hii kitu, sasa jana ndo nimeona hali hii, nifanyaje?
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Kama nawaona CHAPUTA wanavyogonga Cheers!!... Vitu kama hivyo chaputa wanavisikia redioni tu
Atakuwa mfiraji mzoefu huyo.Mbona kama kina malengelenge, mweeee! jamani