Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,805
- 15,522
Huogopi kuuana unao mkuu
Huogopi kuuana unao mkuu
naogopa mkuuHuogopi kuua
Basi mpe moyo hananaogopa mkuu
hapana simpi moyo hata kidogoBasi mpe moyo hana
Basi utamuua mana kama una gono sio kazi kua na ngomahapana simpi moyo hata kidogo
Hapana kaka hii ni usaha nimetoka kwa dr soonHizo.shahawa bwana!
UshauliKaka kwani me nimeona nipate ushauri mzuri ni lazima nioneshe ukweli ila am sorry naomba ushauri wako
Kideko acha ushamba kwani wewe humu ndani unalipwa au unapata faida gani kwani si sehemu ya kielimishana, kufurahishana na kuburudishana. Sasa why unataka kila jambo liwe la kweli?Huna lolote wewe kwanza ni Mtu wa Makiki sana, nimefuatilia post zako zilizopita unaonekana ni Mtu wa masifa sana. Mara unapenda sex ila ukigonga tu mimba Mara nin, wewe masifa tu huna lolote
Sinaunao
Ni kwelo kabisa ila najipa moyo na nitakwenda kucheck baada ya mda na si nowHapana usitishike unaweza kupata gono bila kupata ukimwi sio lazima kila mwenye ugonjwa wa zinaa anakuwa na maambukizi ya ukimwi
Parapanda italia parapanda, Parapanda italia paranda, Nalo dushe lako litakuwa limekwisha nyakuliwa kwendaa...!!×2 Tuimbe kwa pamoja
YapUmepiga dry?
Haya mkuu mie hiyo kitu nshapata zaidi ya mara tatu ila vidudu sinaNi kwelo kabisa ila najipa moyo na nitakwenda kucheck baada ya mda na si now
Jukwaa kubwa hili kuna sehemu ya utani ungeenda kupost hukoKideko acha ushamba kwani wewe humu ndani unalipwa au unapata faida gani kwani si sehemu ya kielimishana, kufurahishana na kuburudishana. Sasa why unataka kila jambo liwe la kweli?