Msaada: Nimelala na wanawake wengi sana

Ni ngumu sana ulale na mademu 160, na ukose wachawi kati yao au wenye magonjwa..

Japo idadi yako sio kubwa sana,,, jipe moyo utazaa tu pale utakapoamua kutulia na mmoja.

Asante..
 
Huna tofauti na jmaa mmoja HV yule amefukisha wanawake 499 HV na kuwapta watoto kumi na moja anammiak 32
 
Binafs naweza kuta nimefikisha Kam 80 had 100 so far ahahahah hatuchekani sna utapata ila uache aise duh Tena wee Ni dry team
 
Duu mbona wachache sana kaka kwa hapa mjini Dar.

Sent from my CPH2349 using JamiiForums mobile app
 
Kutoka 2010-2022 wanawake 160 mbona ni kidogo sana sijajua unajisifia nini?
 
Usiwe na wasi wasi kiongozi uko vizuri. Mfalme Solomon alikuwa na wake rasmi 700 sasa wasiwasi wako nini hata 200 hawajatimia bwana?
 
Nishapata kesi zaidi ya sita za mimba ila mazingira na inategemea na demu alienipa taarifa za mimba. Nyingine huwa nazikaa kulingana na mazingira niliekutana na demu
Kumbe umewakataa mwenyewe.
 
Aisee 180 kwa kipindi cha miaka 12, idadi ndogo bado ila upo vizuri

Hapo ilitakiwa isome 400+ kwa idadi ndogo ya malaya wapya 3 kwa kila mwezi, huku ukitumia si chini ya milioni kumi kukamilisha kazi hiyo...

Una wastani wa malaya mmoja kwa mwezi kitu ambacho ni cha kawaida sana
 
Kupata mtoto utapata ila wale wakwanza ambayo walitakiwa kuwa kama kina lowasa au kikwete hiv ushawaua waliobaki ni wapiga debe stend.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…