Msaada: Nimekwama katika application za NACTE

makaghari

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2014
Posts
544
Reaction score
530
Wasalaam ndugu zangu watanzania.

Jana usiku nilikuwa nikimfanyia mdogo wangu application kupitia Nacte. Baada ya kujaza taarifa za awali ilifikia mahali ambapo nilitakiwa kuhakiki taarifa za awali nilizojaza kama ziko sahihi ikihusisha jina lake kamili, jina la shule, pamoja na namba ya mtihani. Ili kuendelea na hatua inayofuata nilitakiwa kubonyeza "yes" au "no" kama taarifa ni za kweli ama la.

Baada ya kuchagua "yes" niliandikiwa ujumbe huu.."Error! Provided Index Number and Examination Year already registered, Please check your email inbox OR received notification SMS From NACTE for message containing username and password (Code 1001)"

Lakini nimejaribu kuangalia email yangu au inbox katika simu ya kiganjani hawajanitumia hiyo username na password kama inavodai hiyo error. Tatizo linaweza kuwa wapi? maana bila hiyo username na password siwezi kuendelea na Application.
 
Ingia kwenye email yako ,fungua spam utakuta hapo
 
Back
Top Bottom