Curious gal
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 3,200
- 4,010
Heshima yako kaka.....nimekukubali 100%Umeondoka kwenye chumba chako hakuna mtu, kurudi unakuta mtu, kwa hiyo akili zilikujia ghafla sana kwamba umekosea vyumba ikabidi utoke nduki usije kuitiwa mwizi au unabaka. Inshort sema akili zilikujia hapo hapo baada ya kujua umekosea.
Huu msimamo ni lazima uanzie mwanzo mpaka mwisho.
Acha kumbembeleza na wewe utafikiri haujawahi kufanya kosa na ukajitetea na uongo ukakubalika yani hapo fata ushauri wa Don Clericuzio tena wakazie kabisa mwambie ndo hivo nilikuwa out of my mind hapo utakuwa umemalizana nae yani wewe ni mwanaume halafu unaogopa aiseeeeeyule shangazi ananiuliza eti sina chochote cha kumuambia...!!!! nimemwambia sina.. sasa sijui ananitega au na yeye ana yake naona simsomi pia..!!!
Namkumbuka yure alisetiwa dem maharage ya mbeya akaingia kingi na kumi lake!!...[emoji23] dunia viroja aseh!..Hapo hauna kisingizio kingine zaidi ya pombe, kuna mwenzako alitaka kubaka akakimbilia kwenye mahindi sema alikua pombe ni hatari.
Heshima yako kaka.....nimekukubali 100%
Hahahaha huyo jamaa angechonga mlango wa makuti hiyo ten yakeHahaha huyo huyo jamaa ni kiazi sijawahi kuona yani. Hakufikiri hata kama dem ni cheap kiasi gani huwezi kumpata kindezi ndezi hivyo.
Ile nyuzi ilinitoa stress zote za mwaka mpya. 😀😀😀Namkumbuka yure alisetiwa dem maharage ya mbeya akaingia kingi na kumi lake!!...[emoji23] dunia viroja aseh!..
Ila Don katoa ushauri fresh lewa siku hiyo, bora uonekane ulilewa
aseehh!! kumbe wewe ni KE!!..Shukrani mkuu, hapo kwenye kaka naomba upaedit.
aseehh!! kumbe wewe ni KE!!..
Sasa mkuu inakuaje kutoweka jinsia yako kama ni KE au ME au ndio unamuiga sexless!..[emoji2]Ha ha ha, ID za JF hazina jinsia.
Ndo maana tunatumia mkuu.
mkuu ushaaribu tayari wee chakufanya komaa na uwo msemo kuwa ulikuwa umelewa na ukasahau vyumba icho tumkuu acha nimejaribu kumwomba tuongee faragha amekataa katakata na anasema hana muda wa kuongea na mimi...!!!
Sasa mkuu inakuaje kutoweka jinsia yako kama ni KE au ME au ndio unamuiga sexless!..[emoji2]
Why nipaedit???Shukrani mkuu, hapo kwenye kaka naomba upaedit.
Why nipaedit???
Aiseeeee am speechless😛........kuita mkuu sijazoea na siweziUkiniita hivyo ntaona aibu kukuomba nanii.
Niite mkuu... (kidding)