Heart Wood.
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 990
- 1,190
Usijali, endeleeni kuwa wavumilivu. Recruitment process za vyuo sometimes huwa zinakuwa na delay kidogo.!Mpaka sasa hakuna majibu kimya kimetanda watu wengi waliofanya hawajapewa majibu hata wa kada nyinginezo.