Msaada: Nimeitwa Written Interview Chuo Kikuu Mzumbe

Msaada: Nimeitwa Written Interview Chuo Kikuu Mzumbe

Roho ya Mungu akupe hekima na ufahamu wa kuelewa kila swali utakalokutana nalo! Na Roho Mtakatifu akutangulize kwa kila hatua utakayopitia
 
Nadhani wanataka kuona uwezo wako wa kujieleza na pia ufahamu wako wa eneo hilo ambalo umeomba kazi. Labda unaweza kupewa swali kuhusu mfanyakazi A ambalo wewe kama AHRO unatakiwa ufanye maamuzi au utoe ushauri wako kwa management ya juu. Kila la heri.

Ahsante kwa ushauri mzuri sana. Lakini labda kutokana na ugeni wangu humu nimeshindwa kujieleza vyema. Lengo langu nilitaka kujua mfumo wa written interview unakuwaje ni maswali ya field hiyo au ni generala knowledge?
 
Nadhani wanataka kuona uwezo wako wa kujieleza na pia ufahamu wako wa eneo hilo ambalo umeomba kazi. Labda unaweza kupewa swali kuhusu mfanyakazi A ambalo wewe kama AHRO unatakiwa ufanye maamuzi au utoe ushauri wako kwa management ya juu. Kila la heri.
Okey, BAK nitajipanga vizuri
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kuna uhusiano gani na nilichouliza mimi?
kama mtahiniwa/huenda hata ulisoma hiyo HR hapo hapo chuoni (mfanyakazi mtarajiwa wa chuo tajwa) unauliza usaidiwe mtandaoni. Hao wanafunzi watakuaje? VILAZA PLUS.
 
Si vema kushukuru kwa kila jambo ni mtazamo, hisia mbaya pia zina uzuri wake, kuna vitu vingi mtu anaweza kupata lakini yote inatokana na vingi alivovikosa na kuviacha uko nyuma.

Written interview mara nyingi kama sio zote ina lenga technical parts(courses) ulizosoma darasani.

Hiyo pitia zaidi mambo uliyofubdishwa chuoni. Ingekuwa ni private ama taasis za kigeni mf .NGOS.....ningekushauri vingine.

Pia wapaswa kurudia kusoma tangazo la kazi kujua majukumu ya nafasi tajwa, pili ijue historia ama mission & vision ya chuo husika na administration structure kwa juuu juu tu ikiwezekana.

Tambua nafasi hiyo inalipwa mshahara kiasi gani pia ukiulizwa swali hilo usitaje kiwango exactly bali unataja range may be from 700-1.2m.

Zaidi maswali yafuatayo yanaweza kuulizwa katika oral interview
1. Why we should recruits you not any other
2. What's will you do with such posts at our university
3. What's your greatest achievement
4.what's are your weaknesses
5.what's are your strong area
5.How do you master your stresses
6.What's changes will u brings
,7. Have u ever did a mistake? What's was it ? What your learnt......
8. If you miss this post what will you do?........I will let myself dying
9. What's motivates people to do job?
Is there a difference between full half & half full? Job & work

taasisi za uma na kazi serikali hawaulizi haya maswali, ila kama ulivyosema hapo juu kabisa, written huwa ni maswali ya darasan tu labda na IQ test kidogo sana...

hata maswali yaoral pia huwa ni maswali ya darasani pia...

hvyo
 
kama mtahiniwa/huenda hata ulisoma hiyo HR hapo hapo chuoni (mfanyakazi mtarajiwa wa chuo tajwa) unauliza usaidiwe mtandaoni. Hao wanafunzi watakuaje? VILAZA PLUS.
Sasa mtu ameomba umsaidie halafu unamkejeli
 
Sasa mtu ameomba umsaidie halafu unamkejeli
Ana stress huyo mkuu, na mara nyingi watu wanaojibu hivo unakuta ni wivu unawasumbua alitaka yeye aitwe kwaio anatumia namna tu akukejeli akutoe kwenye focus,akuambukize his/her miserable life. Ni wa kuwapuuza tu.
mleta mada kila la heri jiandae sana sana kwa maswal ya ufahamu na mengine ya kawaida yanayohusu kaz yako na profile ya chuo.
 
Au ukute ni hewa alipita kimagumashi na hivo alishatumbuliwa
 
Sasa unataka ukawe afisa muajiri utakae deal na watu wakati wewe mwenyewe haupo compitent?

Kama mzumbe wataona hapa umeshakosa kazi maana wanajua tunaoita interview hamna kitu. Nadhani mchanhiaji wa kwanza kakupa fact sana
 
kama mtahiniwa/huenda hata ulisoma hiyo HR hapo hapo chuoni (mfanyakazi mtarajiwa wa chuo tajwa) unauliza usaidiwe mtandaoni. Hao wanafunzi watakuaje? VILAZA PLUS.
Mkuu inaonekana unapenda ligi sana.
 
kikubwa ni kusoma mambo ya darasani hasa yanayohusu coz ulisoma,interview za serikalini na kwenye taasis za serikali huwa very technical,
 
Mambo marafiki,

Mwaka jana Mzumbe University walitangaza nafasi katika kada mbalimbali, mimi niliomba Assistant Human Resource Officer. Hatimae jana nimepigiwa simu ili nijiandae kwa Written Interview mwezi ujao.

Naomba kwa wazoefu na wanaojua natakiwa kujiandaa kwa maswali gani na nitegemee mtihani wa namna gani?

Asanteni sana.....
USHAURI WA MSINGI!

Interview mara nyingi mathalani Oral interview zinapima zaidi confidence binafsi, namna yakusolve challenges, communication skills n.k

Hii written interview inapima ushindani wako juu ya kazi uliyoomba.

Maswali utakayoulizwa sio mf. Characterstics of good Human Resources Officer, no! Maswali yatabase kwenye mambo ya kila Sikh ambayo utakuwa ukiyafanya.

Utayajuaje hayo mambo??

Kwenye tangazo lao, wameainisha Qualification na Responsibilities za Nazi uliyoombea.

Hivyo maswali yapo hapo kwenye reponsibilities (majukumu ya HRO)
 
Back
Top Bottom