Huku sasa ni kutafutiana ban kwa nguvu!wacha uibewe huna adabu na heshima ya kumiliki flat screen yani unamiliki flat screen sumsung galax, unaishi kigogo? we umejipereka, huspo kuwa makini watakuibia mpka mkeo. hama haraka sana
Pole ndugu yangu wewe nawe umenifanana, hata kwangu niliibiwa tena kwenyewe mchana kweupe wakavunja grill za dirishani wakaingia ndani wakachukua flat screen 34" na lap top Toshiba na simu 2! Muda si mrefu nitawakamata nimegundua mbinu ya kufanya nitaleta mrejesho hapa! Mkuu kama wamechukua simu ngoja nije inbox kwako nikupe mbinu nisije nikaropoka hapa jizi likagundua! Sifi leo anaweza kuwa ni mmoja wa vibaka!Ndugu zangu wana jukwaa kwa masikitiko makubwa nawataarifu ya kuwa usiku wa kuamkia leo wezi wamevunja mlango wa uani na kuingia ndani.
Wameniibia TV flat screen inchi 32 samsung, System ya mziki, deki na simu yangu aina ya Samsung galaxy s3 ya kikorea.
Naombeni ushirikiano wenu kwa atakayeona mtu anauza vitu hivyo.
Eneo wizi ulipotokea ni Kigoma.
Haya mawazo ya kizamani sana. Kua na tv 32" ni ishu kweli? Sidhani km uko sawa, punguza inferiority mkuu!Umetaka tujue vifaa vyako ulivyonavyo. Tumeshajua. Ungehitaji msaada ungetoa maelezo zaidi mf specifications,alama fulani kama zipo n.k
Na kama ulihitaji sympathy hivyo vitu ni vidogo sana hata pole hauhitaji. Komaa chapaa kazi
Out of topic:wacha uibewe huna adabu na heshima ya kumiliki flat screen yani unamiliki flat screen sumsung galax, unaishi kigogo? we umejipereka, huspo kuwa makini watakuibia mpka mkeo. hama haraka sana
Mambo madogo hayo mkubwa, vya dunian hivo tunaviacha Tu, we saka vingine Tu kimtindo acha presha babuuu
Bei yake ikoje? Vip ufanisi wake?Sasa hivi kuna mashine za Aram zinauzwa,zinapatikana hata kaliakoo,ni mashine ndogo kama simu unaifunga kwenye nyumba yako pale mwizi anapoingilia,ikifika usiku unapoenda kulala unaweka ON,atakapoingia tu,itapiga kelele mpaka atakimbia mwenyewe kabla ya wewe kuamka
Sifi Leo wala kesho weye umekurupuka bhana sio KIGOGO niwacha uibewe huna adabu na heshima ya kumiliki flat screen yani unamiliki flat screen sumsung galax, unaishi kigogo? we umejipereka, huspo kuwa makini watakuibia mpka mkeo. hama haraka sana
mwizi utamjua tuwacha uibewe huna adabu na heshima ya kumiliki flat screen yani unamiliki flat screen sumsung galax, unaishi kigogo? we umejipereka, huspo kuwa makini watakuibia mpka mkeo. hama haraka sana
Majibu mengine yanakeraaaawacha uibewe huna adabu na heshima ya kumiliki flat screen yani unamiliki flat screen sumsung galax, unaishi kigogo? we umejipereka, huspo kuwa makini watakuibia mpka mkeo. hama haraka sana
Na vifaa vya magariPole sana!! Yan mpaka leo wez wa kigoma wana mambo ya wiz wa kizama wa kuvunja alafu tena wanaiba mpaka tv!! Huku kwetu wao wanaiba kwa kukwapua simu na pesa tu.
Nina wasi wasi kama na wewe hujahusika kwenye hiyo mishe!Mambo madogo hayo mkubwa, vya dunian hivo tunaviacha Tu, we saka vingine Tu kimtindo acha presha babuuu
Nipo Kigoma mtaa wa Mlole kata ya mwanga kasikazini.
Nb: diwani wetu ni Baba Levo (nimechomekea tu)
Pole brother, I feel your pinch....
Dondoka kwa Juma njemba mshushe mtu tezi dume au awe anajamba kila sekunde