canular
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 858
- 813
Nilihitaji kujua mitaa iliko au kama hiyo haiwezekani nii block kabisa isifanye kazi nifanyeje wataalam msaada plz
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Aseee wananiotea sana hawa raiaPole sana mkuu,ni mitihani ya maisha tu hio.
Nahisi kama vile nimeibiwa elfu kumi yangu - JamiiForums
analeta masihara na jeshi la polisi uyu, wapoteze mda wao kwa ajili ya tekino kweli !Hata polisi usiende,utapigwa makofi.
Yaani kweli waanze kutafuta tecno!!!!.
Analeta zarau uyo
Nenda TCRA watakusaidia
Wabongo kwa mbwembwe!!! Hapo ulipo huenda unalala kwenye makochi ya shemeji!Hata polisi usiende,utapigwa makofi.
Yaani kweli waanze kutafuta tecno!!!!.
Wabongo kwa mbwembwe!!! Hapo ulipo huenda unalala kwenye makochi ya shemeji!
Sent using Jamii Forums mobile app