gonamwitu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 2,210
- 2,840
Screenshot specs za SIMU yako halafu tuone kama na ww hautumii techno nakupa laki moja ukifanya hivyo
Screenshot specs za SIMU yako halafu tuone kama na ww hautumii techno nakupa laki moja ukifanya hivyo
Ukikua utaelewa!Sasa unalala kwako na ni baba wa familia inakula kila siku na kwenda chooni,halafu una simu ya itel au tecno[emoji849][emoji849][emoji849],kuna sehemu nyingine pia utakuwa unakosea.
Malizia vitu usifanye nusu nusu.
Siyo kama nakukatisha tamaa lkn ukweli ni kununua mpya tu. Usalama wa simu za kichina ni ndogo sana lbd kama ni IphoneNilihitaji kujua mitaa iliko au kama hiyo haiwezekani nii block kabisa isifanye kazi nifanyeje wataalam msaada plz
Sent using Jamii Forums mobile app
Ka simu kangu ka tochi, maadam Tecno wana smartphones ngoja nami nijikakamue!Screenshot specs za SIMU yako halafu tuone kama na ww hautumii techno nakupa laki moja ukifanya hivyo