Msaada nimefikishwa kortini kwa Deni lilokoma

Mwilabheghe

Member
Feb 14, 2018
30
14
Wasalaam!
Naomba Msaada wa kifungu cha sheria kinaochoeleza ukomo wa madeni. Nakumbuka nimewahi kushuhudia mtu anashinda kesi Kama hii kortini kwa maelezo kuwa deni limekoma. Hakimu Akasema deni likikaa miaka mitatu hukoma kwa majibu wa sheria na kifungu alikitaja sasa nimekisahau. Naomba kukumbushwa
 
Hata kama ni miaka kumi deni halikomi ila unakuwa nje ya mkataba. Usijisumbue ndugu wewe nenda ukalipe kuepuka usumbufu
 
Ni sawa lakini kama mdai alishafungua kesi... Unalo hilo... Kesi haina ukomo
 
Hata kama ni miaka kumi deni halikomi ila unakuwa nje ya mkataba. Usijisumbue ndugu wewe nenda ukalipe kuepuka usumbufu
hizo ni hisia zako ila Sio sheria. kama hujui Unaonaje ungekaa tu kimya? Wanaojua wanipe kifungu? Ulitaka nijue kuwa Nawe ni member? Nimeshajua kausha basi
 
Poa mkuu subiri hayo mafungu ya sheria ndo utakitambua kinachowaweka YONO AUCTION MART mjini. Mnadhani pesa ya mkopo ni zawadi.
 
Inategemea ni deni la aina gani mkubwa. Kuna mikopo ya taasisi za fedha, mfano unapewa mkopo wa miaka 3 hadi 6. Sheria zingine zinasema usipolipa kwa kipindi flani, status inabadilika ikifika wakati flani wanakupeleka mahakamani.

Kwa kesi yako, haujaeleza aina au asili ya deni lako.
 
well. Kuna mtu nilikuwa nafanya nae biashara hzi za kuaminiana. Kunasehemu nilienda kumdhamini mzigo km wa million 5 hivi kwamaelezo kuwa anaenda nao Zambia. Atarudi na pesa ya mdai wake . Hakurudi. Mm ikabidi nilipe lile deni. Lkn before that alikuwa ananidai 2,700,000 aliporudi akaja na maelezo yakuwa alipata ajali na mzigo na akaanza kunidai ile hela yake. Coz yake tuliandikishana ila nilikomdhamini hatukuandikishana kanipeleka mahakamamani so Nataka nitokee hapo kwenye ukomo wa deni.
 
Kwa maelezo haya huwezi kutoka kwa huo unaouita ukomo wa deni...unachotakiwa kufanya Mahakamani ukifika wakati wa utetezi wa kesi yako ni kuieleza mahakama juu ya kilichotokea kwa hizo transactions mbili...ya mkopo wake dhidi yako na udhamini wako juu ya deni alilokopa yeye...japo swali litakuja je,alikuruhusu ulipe deni kwa kutumia pesa yake anayokudai? au je,kwenye huo mkataba wa udhamini mlikubaliana akishindwa kulipa deni na wewe ukalipa deni kama mdhamini wake,aje akulipe baadae kwa kile ulichokilipa?
 
absolutely no.
 
Wasalaam!
Naomba Msaada wa kifungu cha sheria kinaochoeleza ukomo wa madeni. Nakumbuka nimewahi kushuhudia mtu anashinda kesi Kama hii kortini kwa maelezo kuwa deni limekoma. Hakimu Akasema deni likikaa miaka mitatu hukoma kwa majibu wa sheria na kifungu alikitaja sasa nimekisahau. Naomba kukumbushwa

Acha nijitolee kua wakili na mwalimu pia of course napenda kazi yangu ya uwakili.

Mkuu deni kukoma au kutokoma inaweza kua kweli au sio kweli! Ni kweli deni linaweza kukoma kwa msingi huu.. deni ni mkataba ambao kwa mujibu wa sheria inayoitwa “The Law of Limitation Act [CAP 89 R.E 2002] kikomo cha kuleta shitaka juu ya mkataba ni miaka sita, sasa mfano umekopa mwaka 2011 na ukashindwa kulipa lakini mdai wako akakushtaki mwaka 2018(miaka 7 tangu mlipo ingia kwenye mkataba) bila ya kuomba nyongeza ya muda mahakamani deni hilo kisheria litakua limekufa. Deni haliwezi kukoma kama mdai ameleta shitaka lake ndani ya muda. Hoja yako ya miaka mitatu inaweza pia kua kweli au sio kweli. Deni linaweza kufa ndani ya miaka mitatu kama mkataba unasema hivyo kama haujasema basi ni miaka sita kama nilivyo elezea hapo juu. Nakaribisha swali au maswali kama unayo.
 
Acha nijitolee kua wakili na mwalimu pia
emoji3.png
of course napenda kazi yangu ya uwakili.

Mkuu deni kukoma au kutokoma inaweza kua kweli au sio kweli! Ni kweli deni linaweza kukoma kwa msingi huu.. deni ni mkataba ambao kwa mujibu wa sheria inayoitwa “The Law of Limitation Act [CAP 89 R.E 2002] kikomo cha kuleta shitaka juu ya mkataba ni miaka sita, sasa mfano umekopa mwaka 2011 na ukashindwa kulipa lakini mdai wako akakushtaki mwaka 2018(miaka 7 tangu mlipo ingia kwenye mkataba) bila ya kuomba nyongeza ya muda mahakamani deni hilo kisheria litakua limekufa. Deni haliwezi kukoma kama mdai ameleta shitaka lake ndani ya muda. Hoja yako ya miaka mitatu inaweza pia kua kweli au sio kweli. Deni linaweza kufa ndani ya miaka mitatu kama mkataba unasema hivyo kama haujasema basi ni miaka sita kama nilivyo elezea hapo juu. Nakaribisha swali au maswali kama unayo.
Nashukuru sana wakili Msomi. Vp kwakuwa deni lake hatukuandikishana popote. Ila alijaribu kunitengenezea ushahidi kwa kuniitia watu. Nilikili kwa kumweleza bado namdai na nina nia ya kumshitaki kwa kusababisha nilipe deni lake. Sasa Kabla sijamshitaki Yeye kanishitaki.

Je, Vipi Nami nikimfungulia shauri?
 
absolutely no.
kama hakukuwa na makubaliano ya yeye kukulipa deni ulilomdhamini baada ya wewe kumlipia..basi hawajibiki kisheria kukulipa deni hilo. Bali yeye ana haki ya kukudai kwa lile deni lake la mwanzo ambalo bado lipo.

Na ukomo wa deni upo kwenye kufungua kesi mahakamani tu,na sio kulipana..ikiwa muda uliowekwa na sheria wa kufungua kesi kuenforce deni lako umeisha,hautaweza tn kufungua kesi mahakamani lkn haina maana deni limekufa...maana km ana sababu za msingi za kuchelewa kufungua shauri lake ndani ya mida anaweza kuiomba mahakama imuongezee muda wa kufungua kesi nje ya muda...na akiruhusiwa ngoma ipo pale pale
 
Hiii kisheria inaitwa Counterclaim.... wakati wa kuandika utetezi wako ukishamaliza ndani ya utetezi huohuo unaandika na wewe claim yako kwahiyo zinakua two cases in one.
 
Nashukuru sana wakili Msomi. Vp kwakuwa deni lake hatukuandikishana popote. Ila alijaribu kunitengenezea ushahidi kwa kuniitia watu. Nilikili kwa kumweleza bado namdai na nina nia ya kumshitaki kwa kusababisha nilipe deni lake. Sasa Kabla sijamshitaki Yeye kanishitaki.

Je, Vipi Nami nikimfungulia shauri?

Mkuu mkataba unaweza kua wa maneno (oral) au wa maandishi (written) yote ni sawa kisheria ila kwa ushauri next time make sure you involve a lawyer muandike na mkataba... usiogope kulipa fees za wakili mkuu.
 
kama hakukuwa na makubaliano ya yeye kukulipa deni ulilomdhamini baada ya wewe kumlipia..basi hawajibiki kisheria kukulipa deni hilo. Bali yeye ana haki ya kukudai kwa lile deni lake la mwanzo ambalo bado lipo.

Na ukomo wa deni upo kwenye kufungua kesi mahakamani tu,na sio kulipana..ikiwa muda uliowekwa na sheria wa kufungua kesi kuenforce deni lako umeisha,hautaweza tn kufungua kesi mahakamani lkn haina maana deni limekufa...maana km ana sababu za msingi za kuchelewa kufungua shauri lake ndani ya mida anaweza kuiomba mahakama imuongezee muda wa kufungua kesi nje ya muda...na akiruhusiwa ngoma ipo pale pale
Ahsante Sana
 
Sasa ingekua rahisi kiasi hicho si mtu angekua anakopa pesa zake anasepa after "muda wa ukomo " anarudi anaendelea na life

Kuwa muungwana ulipe kama ambavyo aliekukopesha alikua muungwana
 
Back
Top Bottom