suleym
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 1,961
- 1,211
Ukafanyaje?
dah niliacha hivo hivo mkuu, zaidi nilifanya maombi.
Ukafanyaje?
hii ki2 ya kuchanjwa chale ishanikuta miaka ya nyuma huko kigamboni, nilichanjwa kwenye sikio na badae kwenye paji la uso!!!!!!!!!!!
"Kuamini uchawi ni Umasikini wa akili..." - TANMO
Duh! Kazi kweli kweli! Na wewe pole sana.
Duh, pole mkuu! Naomba nikuulize Je, huyo mdogo wake mkeo ni wa damu (baba na mama moja)? Na pia ni jinsia gani? Kama ni wa kike, mhh.....kaa chini utafakari! Changanya za kuambiwa na zako. Kama shemu we2 anaamin huyo ndg yake ni mchawi maanake ni nini?maanake naye yumo humo.