Msaada: Nimebarikiwa mapacha, ni majina yapi mazuri ya kuwapa?

Msaada: Nimebarikiwa mapacha, ni majina yapi mazuri ya kuwapa?

Wa kwanza muite Ng'wanapagi
Mbowe nalowasa
Kumbenea na komu
Dr slaa na mashinji
Sunche na Kapeto.
Husika na mada tajwa,saidia tafadhali,dini Christian,wote wakiume,
Natanguliza shukrani

Chipeta na Chipetu
Makonda na magufuli
Husika na mada tajwa,saidia tafadhali,dini Christian,wote wakiume,
Natanguliza shukrani
Mkuu si unaona wana jf walivo great thinker humu
Ngangari na Ngunguri.
 
Call them double M mkuu, Magufuli na Majaliwa! Hii ni timu ya ushindi siku zote, hutajuta mkuu
 
Hongera sana majina yafuatayo unaweza kuwaita: Frank and Fredy, David and Davis, Regan and Reward, Godbless and Godlove.
 
  • Thanks
Reactions: DVC
Back
Top Bottom