MSAADA; NIMEAMKA BILA TUMBO

DUME SURUALI

JF-Expert Member
Dec 8, 2016
782
1,081
This is serious wadau...yaani Leo nimeamka asubuhi najiangalia mwili wangu nagundua tumbo halipo yaani nimebakiwa na kiuno,miguu,na sehemu za juu za mwili!!(amazing!!)
Hii itakuwa ni ugojwa au ni laana? Naombeni ushauri wenu wadau maana Tumbo langu nilikuwa nalipenda Sana yaani sijui nitafanyaje maana nimelimis coz mda huu ningekuwa nimeshalipatia chai na Chapati Kama sita hivi.

Watu wakija kunishangaa leo asubuhi
ab01cadafd5c0428caa23a552334657a.jpg

Ushauri wenu ni muhimu Sana wadau ukizingatia kuna watu walio bobea kila sekta humu ..
 
Back
Top Bottom