kuruta ni mdudu
Member
- Dec 26, 2016
- 36
- 83
Kwa kawaida cheti cha ndoa ni cha serikali. Ukifunga ndoa msikitini/Kanisani unapewa cheti cha ndoa cha serikali. Sasa sijui mleta mada alifungia ndoa wapi ambako hawakuwa na vyeti vya serikali...Mh kwani cheti cha kidini kama ulivyokiita hakitambuliwi serikalini? Kwani hakiandikwi Jamhuri ya muungano wa Tanzania kabla ya hiyo BAKWATA?
Wakuu msiwe wabishi cheti cha Bakwata kwa sasa hakitambuliwi serikalini.Mh kwani cheti cha kidini kama ulivyokiita hakitambuliwi serikalini? Kwani hakiandikwi Jamhuri ya muungano wa Tanzania kabla ya hiyo BAKWATA?
Wakuu msiwe wabishi cheti cha Bakwata kwa sasa hakitambuliwi serikalini.Mimi ni mtumishi nina akili timamu msidhani hapa naandika kitu nisichokijua.Cheti cha ndoa ni kile kile, haijarishi umefungia ndoa wapi, iwe ni kanisani, bomani au msikitini, cheti ni kile kile kinachotolewa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kama hicho cheti kimeandikwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kimesainiwa na wanandoa na mashahidi wawili pamoja na aliyefungisha ndoa basi kinakubalika kokote.
Kama ungeleewa uzi wangu basi usingeandika hayo, alafu nipo serious nahitaji msaada sasa kama hili jambo hulijui just relax uendelee kusoma comments za wenzetu.Kwa kawaida cheti cha ndoa ni cha serikali. Ukifunga ndoa msikitini/Kanisani unapewa cheti cha ndoa cha serikali. Sasa sijui mleta mada alifungia ndoa wapi ambako hawakuwa na vyeti vya serikali...
Naona lugha gongana.Cheti cha ndoa ni cha serikali, dini ni wakala tu wa kufungisha ndoa, kumbuka ndoa inayokubalika kwa mujibu wa sheria za ndoa ni mke mmoja, hivyo basi kwa waislamu mke wa kwanza tu ndiyo utapewa cheti cha ndoa cha serikali. Kumbuka kuwa mawakala wote wa kufungisha ndoa vyeti wanavyo, makanisani, misikitini na pia bomani.
Hii ndio comment ya kwanza niliyoona inatoa msaada, wengine wote wanaleta porojo za kuunganisha maneno mara Jamhuri ya Muungano mara msikiti.Nenda na hicho cheti chako kilichotolewa na BAKWATA kwenye ofisi yeyote ya RITA wataisajili hiyo ndoa Kiserikali na kukupatia certificate ya ndoa iliyotolewa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ndo umejibu au sio[emoji23] [emoji23]Cheti ni kimoja tu kinachotolewa na serikali iwe kwenye dini au Serikali.
Serikali ina kazi ya kufanya Kama mtu kama wewe umeajiriwa na serikali halafu kichwa Bomu kiasi hiki.ni hatari kwa maendeleo ya taifa.Wakuu msiwe wabishi cheti cha Bakwata kwa sasa hakitambuliwi serikalini.Mimi ni mtumishi nina akili timamu msidhani hapa naandika kitu nisichokijua.
Kama mtu hujui namna ya kunielekeza ni vema ukatulia tu
Hicho kinachotolewa na BAKWATA ambacho RITA hawakijui ni cha aina gani?Nenda na hicho cheti chako kilichotolewa na BAKWATA kwenye ofisi yeyote ya RITA wataisajili hiyo ndoa Kiserikali na kukupatia certificate ya ndoa iliyotolewa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Umeanza majigambo sasaSerikali ina kazi ya kufanya Kama mtu kama wewe umeajiriwa na serikali halafu kichwa Bomu kiasi hiki.ni hatari kwa maendeleo ya taifa.
Hicho cheti Cha BAKWATA kimetoka Saudi Arabia mkuu?Hii ndio comment ya kwanza niliyoona inatoa msaada, wengine wote wanaleta porojo za kuunganisha maneno mara Jamhuri ya Muungano mara msikiti.
Mkiona mtu kaleta jambo mjue hayo majibu marahisi anayajua tayari.
Nashukuru sana, ushauri wako ntaufanyia kazi.