Msaada: Nilibakwa na majambazi nimepata ujauzito

Usitoe mimba hata SAA mbovu kuna wakati usema ukweli pamoja na ujambazi lkn mtoto Ni zawadi yawezekana usimpate tena mtoto maishani mwako Leo hiyo mimba
 
Ushauri wangu, usiwaambie watu wa karibu kuhusu jinsi ulivyopata mimba; huwezi jua wanaweza msimanga au mnyanyasa mtoto.

Share mtandaoni kila kinachokusumbua, we will be here to listen to you; with God's help we might as well help in ways we are able to.

Mungu asikuache kipindi hiki. Unamuhitaji zaidi
 
Konda wa bodaboda hii nimechukulia kama ajali tu aliyopata mwathirika, hata hivyo hatuna hakika kuhusu kilichomtokea, yawezekana pia kafanya One Night Stand with unfamiliar man sasa yakamkuta. Anyway hatuwezi kujaji upande huo tufikirie namna bora ya yeye kusaidiwa.
 
Kwanini uwe na wasiwasi wa, yeye kuambukizwa na huyo jambazi na sio yeye ndiye labda anaweza kumuambukiza huyo jambazi magonjwa ya zinaa?

Tofauti ni kuwa mbakwaji hakujitakia mwenyewe hayo maambukizi, alailazimishwa ila mbakaji atakuwa amejitakia mwenyewe hayo maambukizi.....
 
It may be a parental accident but not divine accident.
Keep the baby, don't get down to your rapper level. You are not a killer. Give God all your pains and everything, He will take care of that.

What if after abortion you won't be able to concieve again?

Do you think the incident will go away after abortion? Nope you will have a double load I assure you.

Just pray ili Mungu akupe nguvu. Mtihani ulionao ndio utakaopeleka kwenye ushindi mkubwa maana unakuvusha kutoka kwenye watu wa kawaida kama mimi na kuwa mtu mwingine.

Mungu akusaidie.

Sina cha kuongeza...I 've said it all
 
kama unahisi unauwezo wa kumpenda mtoto .. na kulea na haupo tayari kwa majukumu nenda hospitali haraka waitoe na upime HIV na magonjwa ya ngono .... usijaribu kutoa peke yako ... siku nyingine ukibakwa unatakiwa uwahi hospitali mapema
 
kama unahisi unauwezo wa kumpenda mtoto .. na kulea na haupo tayari kwa majukumu nenda hospitali haraka waitoe na upime HIV na magonjwa ya ngono .... usijaribu kutoa peke yako ... siku nyingine ukibakwa unatakiwa uwahi hospitali mapema

Kwani wapi amesema hakuwahi hospitali baada ya kubakwa?
 
Mmh, kwenye kubakwa na jambazi? Dah pole sana kama ni kweli. Unahitaji counseling kwanza kabla ya kutoa mimba. Marie stopes wana huduma rafiki, wapitie kwanza.

Huyu dada ana umri gani hadi asijue taratibu za kutoa mimba?!! Halafu nyumba anayoishi kuna wapangaji hamna hata wa kumuuliza?!
 
Mmmmh hivi kama jambazi hujahusika? Embu rudi mkalee huyo mtoto.

Anyway dada usitoe iyo mimba nenda upime HIV ulee mtoto kuna watu wanaangaika kushika mimba miaka 20 wapiiii
 
Pole sana dada, nimejaribu kuvaa viatu vyako, and kutafakari sana. Ku sema kweli ingenitokea mimi, ningetoa huo ujauzito. Kuna mdada ametaja Marie stores clinic, nadhani ungezingatia Ushauri wake. Kwa manufaa ya wengine, tukio la kubakwa can be a traumatic life changing experience, ni vema Kapata Masada wa daktari mapema iwezekanavyo. Hii husaidia kuzuia ujauzito pamoja na magonjwa mengine yanayoweza Kua caused na ubakaji wenyewe. Pole sana dada manake huu sio mzigo mdogo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom