Nina windows phone (nokia lumia 521) ya urithi na muhusika alikuwa anaitumia USA, sasa shida nkiweka laini zetu za kibongo haisomi, mafundi kadhaa wameshindwa kunisaidia, mwenye ujuzi na haya mambo anisaidie mawazo.
Jaribu kuinstall rom nyingine kwa kutumia nokia care suite. Google jinsi ya kufanya hivyo labda itasaidia maana hii unaweza kuinstall rom ya nchi nyingine kabisa
Jaribu kuinstall rom nyingine kwa kutumia nokia care suite. Google jinsi ya kufanya hivyo labda itasaidia maana hii unaweza kuinstall rom ya nchi nyingine kabisa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.