Msaada nikiweka graphics card yangu inanipa ujumbe huu

chuxxe

JF-Expert Member
Feb 4, 2019
382
250
kuna mtu kaniuzia graphics card ila nikiweka kwangu inaonesha imedisplay ila ina andika.

"This device is not working properly because Windows cannot load the drivers required for this device. (Code 31)
The driver trying to start is not the same as the driver for the POSTed display adapter."

Msaada please.
 

racka98

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
1,045
2,000
Ni graphics card gani? Nenda kwenye website ya company ya hyo graphics card, download driver yake then install
 

chuxxe

JF-Expert Member
Feb 4, 2019
382
250
nvidia p283
hiii inaweza kuwa imefika gb 1
View attachment 1510065 View attachment 1510066
IMG_20200717_214949.jpg
 

chuxxe

JF-Expert Member
Feb 4, 2019
382
250
yaani pamoja na kupoteza mda wote ule kufanya research juu ya Card nzuri, umeenda chukua takataka iyo ?

High End Cards zinaanzia DDR5 sasa ivi, iyo yako ni DDR2 , umepigwa aisee labda akupe bure
hapan mkuu cjanunua iyo ila alinipa nitest tu kwanza boss wangu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom