Msaada: Nikiwasha Data tu, simu inajizima yenyewe

Msaada: Nikiwasha Data tu, simu inajizima yenyewe

Ray waniache

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2017
Posts
737
Reaction score
507
Wakuu nina tatizo kwa simu yangu
Simu yangu ni ya LG G3 tatizo linakuja kuwa nikiwasha data nikiingia internet tu inajizima na kujiwasha yenyewe sasa nashindwa kujua tatizo ni nini?

Maana yake ni kuwa nashindwa kutumia hata whatssap au mtandao wowote nikiwasha tu data za internet on inajizima saa hiyo hiyo na kujiwasha.
Nisaidieni nifanyeje wakuu

Inanisumbua sana kuna wakati battery inasoma ipo 70% hapo hapo mara inaandika battery low Baada Ya muda tena inaandka ipo 4%.

Nikiwasha data ndo inajizima nikiweka airplane mode haizimi
Sasa hivi nikiwasha data ni mpk niwe nimeiweka kwenye chaji yaan niitumie huku inaingiza bila hivyo inajizima.

Msaada please wakuu.
 
Je hiyo simu inaganda(freeze) kabla ya kujizima?
 
lg ni pasua kichwa... nliwah kua na g2 ilichonifanya sina ham na io brand
 
Inanisumbua sana kuna. wakat battery inasoma ipo 70% hapo hapo mara inaandka battery low Baada Ya muda tena inaandka ipo 4%
Nikiwasha data ndo inajizima nikiweka airplane mode haizimi
Sasa hivi nikiwasha data ni mpk niwe nimeiweka kwenye chaji yaan niitumie huku inaingiza bila hivyo inajizima
Msaada please wakuu
 
Wakuu nina tatizo kwa simu yangu
Simu yangu ni ya LG G3 tatizo linakuja kuwa nikiwasha data nikiingia internet tu inajizima na kujiwasha yenyewe sasa nashindwa kujua tatizo ninini?
Maana yake ni kuwa nashindwa kutumia hata watssap au mtandao wowote nikiwasha tu data za internet on inajizima saa hiyo hiyo na kujiwasha
Nisaidieni nifanyeje wakuu

Inanisumbua sana kuna. wakat battery inasoma ipo 70% hapo hapo mara inaandka battery low Baada Ya muda tena inaandka ipo 4%
Nikiwasha data ndo inajizima nikiweka airplane mode haizimi
Sasa hivi nikiwasha data ni mpk niwe nimeiweka kwenye chaji yaan niitumie huku inaingiza bila hivyo inajizima
Msaada please wakuu
Kama ukiiweka kwenye chaji haizimi, betri ndio inashida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back to topic, kama simu ikiwa katika chaji na haizimi hata ukiwasha data, ila ukiwasha data huku ikiwa haipo katika chaji, basi hapo naconclide kwa kusema 99% tatizo litakuwa ni betri ndo tatizo. Kwani hizo abrupt changes za mara battery ioneshe 70% mara low batery mara 4% ni dalili za battery kuchoka. Tafuta replacement ya hiyo battery.
 
Wakuu na mm simu yangu ni samsung galaxy note 4 naulizia walau betry yenye unafuu nitapata wapi kwa hapa dsm na gharama zake manake tatizo lake kama hilo.
 
Mkuu hio ni bttry wala usije ukaliwa hela yako bure na mafundi
 
Wakuu na mm simu yangu ni samsung galaxy note 4 naulizia walau betry yenye unafuu nitapata wapi kwa hapa dsm na gharama zake manake tatizo lake kama hilo.

Pole saana kakta cm za galaxy bas Not4 walichapia ktk chaj
Yaani hizo cm hazikai kabxaa na chaj
Sasa ili iwe na afadhali ya chaj kukaa kiasi punguza brighteness ya display hlf mara kwa mara zisimamishe running applications zisizolua na faida kwako
Bttry nenda kariakoo bei nadhani itakua elf30
Vizuri zaidi ununue na power bank
Kwa akiba kwajili ya safari
 
Please change your battery.Buy a new one.Thats the only solution I can offer you.And it'll work.
 
Back
Top Bottom