Msaada: Nikiinunulia graphics card dell I5 3470 itacheza game kubwa kama GTA V?

issaramadhani

Member
Jan 29, 2017
14
4
Jaman samahani nina PC yangu dell I5 3470 nilikua nataka kujua kuwa kama nitainunulia graphics card inacheza game kubwa kama GTA V msaada plz.
 
hapo ilipo inacheza gta v bila hata graphics card, just punguza tu quality ya graphics.

gta v inacheza mpaka kwenye vitablet sembuse specs kubwa kama hizo? i5 3470 ni 3rd gen na gpu yake ni intel HD4000.

angalia hii ni laptop ya 3rd gen na inarun vizuri, wewe utapata perfomance kubwa kushinda hii

unfortunately hatoweza kurun at high setting hata akirun kwenye medium ataendeea kupata lag
Hio pc yake ipo fresh tu ina processor nzuri sana tu
hivyo basi atafute tu graphics card zipo nyingi tu
kama xfx radeon rx 550 ddr5 ni 2gb inarun gta v na games kama witcher 3 kwa fps zaidi ya 50 at high to ultra settings
hiyo card inauzwa 370000/=
 
Jaman samahani nina PC yangu dell I5 3470 nilikua nataka kujua kuwa kama nitainunulia graphics card inacheza game kubwa kama GTA V msaada plz.
kwenye gaming ni graphics mkuu gpu zipo nyingi tu we tafuta gpu kwa uhakika wa kucheza games zoe kwenye settings nzuri
--xfx radeon 550 4gb ddr5 =400,000/=
  • 4GB 128-Bit DDR5
  • Core Clock 1203 MHz
  • 1 x DL-DVI-D 1 x HDMI 2.0b 1 x DisplayPort 1.4
  • 512 Stream Processors
  • PCI Express 3.0
--geoForce gtx 1050ti 4gb ddr5 = 550,000/=
  • Classic and modern games at 1080p @ 60 FPS
  • Fast, smooth, power-efficient gaming experiences
  • 4GB 128-bit GDDR5
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom