Msaada wakuu mwenye ufahamu mzuri na computer

qaswida mix

Member
Mar 24, 2019
92
125
Nina Computer yangu ni i5 3rd gen i5 3470

Nilisoma uzi mmoja nikaona unaweza nunua graphic kubwa alafu isiwe na msaada mashine yangu ni sff yani ya kulala nataka ninunue graphic hii je nitapata 60fps 1080p au zaidi kwa graphic hii gtx 1650 4gt lp.

NI MPENZI WA GAMES PIA NAFANYA MOTION GRAPHIC NA ANIMATION MSAADA WA MAWAZO YENU NA USHAURI WAKUU ILI NISIJE NIKAPOTEZA PESA.

PIA HIIO GRAPHIC NIKITAKA HAPA BONGO NAIPATA WAPI.
Chief-Mkwawa View attachment 1655922 View attachment 1655923
 

Attachments

  • Screenshot_20201220-121121_Alibabacom.jpg
    File size
    41.1 KB
    Views
    0

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom