jitulawatu
Member
- Aug 9, 2020
- 52
- 49
Wana jamvi habarini za muda huu, Wajuzi wa mambo haya naombeni msaada wenu tafadhali.
Mimi Proffesional yangu ni AFISA MISITU Daraja-II
Katika kupambana kutafuta kazi nimefaulu interview na kupangiwa kituo katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa fulani
Wakati huu pia nimefaulu interview ya Jeshi la Magereza kwenye hii hii kada ya AFISA MISITU na natakiwa nifike kwenye mafunzo siku 3 zijazo.
Binafsi ninazipenda kazi zote hizi mbili kwa sababu mimi ni mzalendo na pia zote zinahusu fani yangu.
Sasa nimevurugwa hapa niende wapi katika hizo post mbili ninaombeni ushauri wakati huo tukizingatia upande wa MAOKOTO tu hapo ndipo nilipokwamia.
ASANTENI