Ok sawaHornet,
Si kweli kwamba kuchora huja automatic...Japo wanaochora wengi wamezaliwa na hivyo vipaji.Lkn kuchora ni Elimu/Sayansi/Engineering ambayo ina njia nzuri za kusoma na mtu yeyote anaweza kua mchoraji.
Kitu ambacho huja automatic/Kipaji ni ubunifu wa mchoro,sio wote wanaweza kubuni kitu kizuri na cha pekee lkn ukibuni ukamwambia akichore atachora.
Chukua hatua,bado haujachelewa.Ok sawa
Ila mie nachora japo si kitaalamu pasi kujifunza popote.
Pengine ningechukua hatua ningekuwa mbali.
Hapana nina interest sehemu nyingine tofauti.Chukua hatua,bado haujachelewa.
Kama kweli una kipaji kitendee haki tafadhali hata kwa part time.Hakuna utakachopoteza.Hapana nina interest sehemu nyingine tofauti.
Kama kweli una kipaji kitendee haki tafadhali hata kwa part time.Hakuna utakachopoteza.
.....Ndugu zangu nifundisheni kanuni, skills au mbinu za kuchora kitu chochote
Mf. Picha ya mwanamke mzuri,
Picha za wanyama kama tembo, vitu kama nyumba na miti.
Nitafurahi san nikiwez kuchora kwa kujiamini kapo (age go) umri ushaenda
Thanks
UCHORAJI NI SOMO PANA NA MUHIMU MNO:
Sasa je unataka kuchora nini?
Anza hapa:
Mchoro ni nini; Mchoro /Uchoraji ni lugha inayotumika kuwasilisha mawazo,ubunifu na aina yoyote ya fikra kwa mlengwa.
Aina za uchoraji ziko kuu mbili;
1.Uchoraji wa picha/ Pictorial Drawing
2.Uchoraji wa Ramani/ Orthogonal Drawing(Orthographic Projection)
Aina za Pictorial Drawing ziko nne;
i)Isometric drawing
ii)Oblique drawing
iii)Axonometric drawing
iv)Persective drawing
NB: Perpective drawing ndio uchoraji wa picha halisi ya kitu ..iwe mtu,mti,gari n.k
Kazi hii pia ndio inayofanywa na Camera.
Aina za uchoraji Ramani (Orthogonal Drawing)ziko tatu;
i) First Angle Projection
ii) Third Angle Projection
iii)Combine (First & Third)
Sasa lazima ujue ww mwenyewe unataka kuingia au kujifunza kuchora kitu gani specific.
NB: Asili ya somo hili ni Greece (Ugiriki) kwahiyo hata Terminologies zake ni za Kigiriki.
Karibu kwa maswali na ushauri!
Asante sana mkuu, nakuja na maswalUCHORAJI NI SOMO PANA NA MUHIMU MNO: