Msaada: Nifanyeje ili chuo wanikubalie?

Msaada: Nifanyeje ili chuo wanikubalie?

sima salva official

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2017
Posts
210
Reaction score
90
Mimi nimetumiwa sms na chuo kuwa jina langu limekataliwa TCU hivo ikabidi nichukue barua kutoka katika chuo ambacho nilichaguliwa mwaka jana hivyo nikaenda TCU wakanipa fomu nikajaza nikawapa tena TCU ila chuo nilichochaguliwa wanasema niwape hiyo fomu na barua hapo niwaamini wapi?
 
Ulikuwa utoe japo copy then ungepeleka huko chuoni
 
mimi nimetumiwa sms na chuo kuwa jina langu limekataliwa tcu hivo ikabidi nichukue barua kutoka katika chuo ambacho nilichaguliwa mwaka jana hivyo nikaenda tcu wakanipa fomu nikajaza nikawapa tena tcu ila chuo nilichochaguliwa wanasema niwape hiyo fomu na barua hapo niwaamini wapi?
Mbona mambo madogo hapo sio swala la umuamini nani ,wew kesho rudi tcu waombe hiyo barua uliyoijaza tafuta stationery toa copy mbili then rudisha original tcu kisha copy moja peleka chuoni nyingine baki nayo [emoji56] [emoji56]
 
Back
Top Bottom