Je, kuna uwezekano wa kupata mkopo?

Je, kuna uwezekano wa kupata mkopo?

Willy12

New Member
Joined
Jul 29, 2020
Posts
3
Reaction score
2
Habari naomba msaada wa hili.

Mimi nilichaguliwa chuo mwaka jana lakini sikufanikiwa kujiunga kwa mwaka wa masomo 2019/20 kutokana na matatizo na Mkopo nilifanikiwa kupata nikaenda chuo nilichochaguliwa kuna form nikajaza inatakiwa nipeleke TCU.

Sasa je nauliza kuhusu mkopo niliopangiwa mwaka jana naweza endelea kuwa ni mmoja wa wanufaika?
 
Hivi kwenye mawasilian waliyoweka nikiwapigia wanaweza kupokea?
 
Habari naomba msaada wa hili.

Mimi nilichaguliwa chuo mwaka jana lakini sikufanikiwa kujiunga kwa mwaka wa masomo 2019/20 kutokana na matatizo na Mkopo nilifanikiwa kupata nikaenda chuo nilichochaguliwa kuna form nikajaza inatakiwa nipeleke TCU.

Sasa je nauliza kuhusu mkopo niliopangiwa mwaka jana naweza endelea kuwa ni mmoja wa wanufaika?
Kama uko karibu na heslb nenda ofisini kwao utapata Wala usiwe na hofu
 
Back
Top Bottom