miss username
Member
- Mar 30, 2013
- 78
- 32
Nimeamka
kwenda kujisaidia mida ya saa kumi kasoro cha ajabu ile nafungua tu
mlango wa toilet nikaona nyoka mweusi mdogo mfano wa makerpen karibu na
tundu la choo
Nilichoamua ni kumflash kwa ndoo kubwa za maji. Hivi kweli atakuwa
amekufa au ataibuka tena?
Naogopa sana ukizingatia chumba chenyewe ni self
Naombeni ushauri nifanyeje
Plz naomba nikuukize, je ww msimamo wako ni upi juu ya gas ya Mtwara? Km ulishawah kuropoka kuw INATOKA....bac kazi unayo kaka, huyo nyoka hatodhibitika hata kwa mafuta taa. Change msimamo haraka ili ukate gogo kw raha.
mmmmh!ha ha ha ha tundu lipi kati ya yale mawili...Atakuwa kajibanza mahali kwenye hilo tundu...Chuchumaa kwa taadhari next time maana anaweza akatoka kwenye tundu la choo na kuingia kwenye tundu lingine....
Chumba ni self hicho choo ni cha aina gani na ni mazingira gani ambayo Nyoka anaweza kuingia ndani?