Salaam wana JF:
Nimeistall 3 mobie Broadband ktk PC yangu kwa ajili ya kuconnect internet kwa kutumia
modem inyotumia SIM card.Sasa nikipigiwa simu software inarespond na inatoamlio wa kuita,shida inakuja ninapopokea simu sisikii sauti ya upamde wa pili nifanyaje Ili niweze kuwa Napata mawasiliao,Tafadhali nijuzeni