Msaada: Nifanyaje kuhusu matatizo haya ya gari?

Yes. inakuwa ni vizuri zaidi..Unaweza ukafanya radiator flashing.....kisha ukaweka coolant...

Radiator flashing hufanyika hivi..
Unaweka coolant mpya, unawasha gari linakaa silence kwa muda mpka injini ipate joto lake.....subiri feni ufungue na kufunga kama mara tatu au nne hivi....hii inaashiria joto la engine litakuwa limefikia maximum level na hiyo coolant itakuwa imeahazunguka vya kutosha na kuondoa kiasi chocho cha maji yaliyosalia..

Hapo unaweza kuzima gari na kufungua koki ya kumwaga coolant, kisha jaza coolant mpya moja kwa moja.

.
****Kama unahisi kuna mahali pameziba, ni vyema fundi azibue manual....

Sent using Jamii Forums mobile app
Kipind anafanya hivyo anaweza kuweka radiator flush nzuri kama za liquimoly kwa ajil ya kusafisha rejeta yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuhusu suala la ile engine,hii gari toyota porte ilikuwa na engine cc 1490 , sasa tumeamua kubadili, niweke engine ingine , nimepata engine ya ist cc 1290 je kunaweza kuwa na tatizo hapo nikiweka hiyo ya ist interms of perfomance??
 
Unajaribu kutengeneza tatizo lingine. Tafadhali tafuta engine yenye spec kama uliyotoa.utaingia gharama kubwa hadi uchukie magari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuhusu suala la ile engine,hii gari toyota porte ilikuwa na engine cc 1490 , sasa tumeamua kubadili, niweke engine ingine , nimepata engine ya ist cc 1290 je kunaweza kuwa na tatizo hapo nikiweka hiyo ya ist interms of perfomance??
Engine yake kama iliokufa haipatikani?
 
Mkuu Nina Carina Ti vip nitumie coolant ya rangi gani make hua ziko tofauti tofauti
Mkuu pole sana kwa kuua injini...yes..the simple and genuine answer is you have killed your engine...

Hapo hakuna suluhisho zaidi ya kununua Engine nyingine ufunge hapo..

Sababu za kuua hiyo injini....
1...Inaonekana ulikuwa unafanya service za bei rahisi bila kutumia bidhaa zenye ubora....pengine ulifuata ule ushauri wa watu wanaosema service za Toyota ni bei rahisi.

2....Pengine gari yako ulishauriwa utoe thermostat na mafundi wa mtaani, na wewe ukafanya hivyo, au ulianza safari bila kukagua kiwango cha coolant, au unatumia maji ya bombani...hii ndiyo imepelekea kuunguza head pamoja na gasket yake...Too Sad..kuunguza head si swala la kitoto inaonekana kuna makosa makubwa yalifanyika.

3...Toyota porte nadhani haizidi cc 1300, isijekuta ulikuwa unafukuzana na V 8 zinazowahisha viongozi kwenye majukumu yao....engine ikawa over heated na kupelekea kuunguza head na gasket..

4....Service ya oil uliyofanya kabla ya safari ilikuwa ya kiwango cha chini.....zaidi oil filter kama ulitumia zile za 3500/- mpaka 5000/- hizi huwa hazimudu safari ndefu...zinavimba na kuchanika yale makaratasi ya ndani yanayochuja oil na kufanya kuziba njia ya oil....hapo ndipo ulipoona vyuma vinaanza kudondoka vyenyewe....

HIZI ZOTE NILIZOTAJA HAPA NI ASSUMPTIONS LAKINI ZINAWEZA KUWA NDIYO ZIMEUA ENGINE YAKO.

ANGALIZO...
Gari ikishakuwa chini ya cc1500, usiilazimishe safari ndefu, ibembeleze.... accelerate reasonably...usifanye ligi, acha gari ichanganye yenyewe...waache wenye Subaru, V8, Brevis, Fuga waende zao.

Fanya service zenye ubora kwa kutumia bidhaa bora, coolant, oil na filter.

Ni hayo tu machache.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asilimia 70 ya gari zinaharibikia kwenye garage za mitaani na hii ni sababu wamiliki wa hayo magari wanataka huduma za chap tu bila uhakika. Fundi anarekebisha tatizo moja na kukuwekea mengine mawili. TAFUTENI MAFUNDI WA UHAKIKA.
 
Nikweli kabisa
 
Back
Top Bottom