Msaada: Niandike barua ya kuacha kazi au nisubiri

Hakuna mashtaka yaliyofunguliwa kwenye bodi ya kinidhamu, na hajaitwa kwenye bodi yeyote kujieleza, isipokuwa aliandika barua 3 za kujieleza kwa mtu mmoja ambae n mkurugenz na huyo mkurugenz yupo chini ya mwajiri wake nayy.
 
Mkataba wake ni wa kila miezi12, ni zaidi ya miezi 6
 
Hajaona no PM
kiufupi hawana sababu wala uhalali wa kumfukuza ila akiacha mwenyewe halipwi chochote asijingize kwenye mtego akiweza anipigie kwa number nitazompm niweze kutoa ushauri wa bure kwa zaidi
 
Hakuna mashtaka yaliyofunguliwa kwenye bodi ya kinidhamu, na hajaitwa kwenye bodi yeyote kujieleza, isipokuwa aliandika barua 3 za kujieleza kwa mtu mmoja ambae n mkurugenz na huyo mkurugenz yupo chini ya mwajiri wake nayy.
1. Bila shtaka la kinidhamu "termination" is unlawful (soma page 5 & 6) pamoja na (9 & 10) ya hiyo Labour revision No. 299 of 2014

2. Mwajiriwa kumtengenezea mazingira magumu ya kazi ili aache kazi hiyo pia ni "unlawful termination" ambayo huitwa "Constructive termination" soma hiyo Labour revision No. 164 of 2014View attachment Termination on fair reason bt unfair procedure - No. 299 of 2014.pdfView attachment Constructive termination - No 164 of 2014.pdf
 
Ama mashtaka ya kinidhamu yanaweza kufunguliwa alafu mshtakiwa asiitwe kujieleza!? Yaan yakafunguliwa, wakashtakiana na kutoa hukumu bila kumuita mshtakiwa ajieleze.
 
Huyo kapewa mtego...tangu lini ukaandika barua ya kuacha kazi alafu ulipwe??
 
Hasiandike barua. Asubiri wamwachiche. Watamlipa mafao yake wasipomlipa cma inawahusu. (Wrongful termination/constructive dismissal etc. Kuna mahali watajichanganya Kwanza mpaka hapo tiyari kufikiria kumfukuza mtu kabla ya disciplinary procedures kukamilika Ni kosa tiyari hata baadae zikikamilika bado huko kumfukuza Ni constructive dismissal
 
Hakuna mashtaka yaliyofunguliwa kwenye bodi ya kinidhamu, na hajaitwa kwenye bodi yeyote kujieleza, isipokuwa aliandika barua 3 za kujieleza kwa mtu mmoja ambae n mkurugenz na huyo mkurugenz yupo chini ya mwajiri wake nayy.
Hayo wanayomwambia wampe kwa maandishi. Mpira huko kwao hacha waucheze. Wakicheza vibaya wamejifunga
 
Mkuu nipe nondo nimlishe huyu raia, ameshafunguliwa mashtaka kwenye kamati ya nidham, je mambo yapi ya mhimu ya kuzingatia aingiapo katika panel ya kamati ya nidhamu?

Je ni sahihi mkurugenz kama mshtaki kwenye kamati ya nidhamu kuja na mwanasheria wake na mwanasheria wake akahesabika kama mjumbe wa kamati?
 
Hacha aende nao...kwa namna yoyote asikili kosa ili wao wadhbitishe kosa lake. Maamuzi ya kamati ndo yatakuwa base ya afanye Nini. Kama kitu akielewi Hana sababu ya kujibu. Hana haki ya kuomba mda wa kutafuta majibu etc. Hiyo siyo mahakama ni internal remedy mechanism. Wakati huo huo mnafanya scrutiny ya composition ya kamati na role zao katika kutekeleza majukumu yao. Inaweza ikawa kigezo Cha kuomba reviews na appeals mbele ya safari maana inawezekana anayetuhumu Ni hakimu wakati huo huo. Je wewe/huyo mtuhumiwa Ni mwanachama wa chama Cha wafanyakazi?
 
Hajui kama n mwanachama wa chama cha wafanyakaz, ila anasema huwa anakatwa asilimia kama1 kwenda kwenye mfuko wa chama cha wafanyakazi
 
"scrutiny ya composition" hii kitu ina maana gan!?
 
"scrutiny ya composition" hii kitu ina maana gan!?
Samahani uhandishi wa mitandaoni sio rasmi sana. Nilichomaanisha Ni kufanya uchunguzi na na character analysis ya kila mjumbe. Je tume hiyo hipo siku zote na uwa inafanyia kazi matatizo Kama hayo? Je wajumbe Ni akina Nani? Je wenyewe wameshirikije katika Hilo kosa au wamesaidiaje lisistokee kwa nafasi zao? Je Kuna wajumbe wenye maslahi binafsi na kesi hiyo etc. ? Je tume/kamati Ni huru? (Samahani kwa kusababisha sintofahamu?)
 
Mwambie asubiri mpaka wamtoe, huenda pia wanamtega, so ajiandae kisaikolojia halafu asubiri
 
Mkuu mashtaka ya kinidham hufunguliwa na mwajiri, je mwajiri nae anaweza kuwa sehemu ya wasikiliza kesi na watoa hukumu? Yaan mshtak anaweza kuwa sehem ya watoa hukumu kwa washtakiwa?
 
Mkuu pitia comment mbili tatu hapo juu kisha unipe nondo.
kiufupi hawana sababu wala uhalali wa kumfukuza ila akiacha mwenyewe halipwi chochote asijingize kwenye mtego akiweza anipigie kwa number nitazompm niweze kutoa ushauri wa bure kwa zaidi
 
Mkuu mashtaka ya kinidham hufunguliwa na mwajiri, je mwajiri nae anaweza kuwa sehemu ya wasikiliza kesi na watoa hukumu? Yaan mshtak anaweza kuwa sehem ya watoa hukumu kwa washtakiwa?
If this take place it will wage war against the ruling/decision of the High Court of Tanzania in EDEN MAEDA V. HOTEL AND LODGES (T) LTD, LABOUR DIVISION (2017).
 
Asubiri na kuendelea na kazi zake kama kawaida...

Mkataba wake utakapoisha aangalie kama hawata renew nae tena sawa...

Cc: mahondaw
 
Umeniacha kwenye mataa, sijakusoma hapa
If this take place it will wage war against the ruling/decision of the High Court of Tanzania in EDEN MAEDA V. HOTEL AND LODGES (T) LTD, LABOUR DIVISION (2017).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…