Msaada: Niandike barua ya kuacha kazi au nisubiri

Kwa sheria ipi ya kazi ambayo uikiacha kazi unalipwa? Huo ni mtego Kama kweli kaambiwa hivo
Ukiacha kazi kwa 24 hrs ndo hulipwi na badala yake wewe ndo unamlipa mwajiri mshahara wa mwezi mmoja.Ukiacha kazi kwa ukitoa notice ya mwezi mmoja unalipwa salary yako. Rejea Sheria ya ajira na mahusiano kazini ya mwaka 2004.
 
sasa huo si utakuwa mshahara maana utakuwa umeufanyia kazi una haki ya kulipwa
 
If this take place it will wage war against the ruling/decision of the High Court of Tanzania in EDEN MAEDA V. HOTEL AND LODGES (T) LTD, LABOUR DIVISION (2017).
Mkuu naweza kuipata hii kesi msaada tafadhari
 
Back
Top Bottom