Ndugu zangu habari zenu jamani,
Tafadhali naomba mwenye kufahamu zilipo ofisi kuu HQ za chama cha wamiliki wa vituo vya mafuta (TAPSOA) kwa hapa Dar anielekeze au kama kuna mdau mwenye mawasiliano na mtu yoyote wa chama icho basi anisaidie tafadhalini.
Naombeni sana jamani.