MSAADA: Ni wapi naweza kununua mashine ya kukunjia vyuma?

MSAADA: Ni wapi naweza kununua mashine ya kukunjia vyuma?

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
12,151
Reaction score
44,121
Nilikuwa nahitaji kununua mashine ya kuweza kukunjia vyuma inayoweza kutengeneza mapambo/mauamaua kwenye madirisha na milango ya chuma. Mashine hizo ni za kutumia mikono(manual) na inamuzesha fundi wa kuchomea vyuma kupinda vyuma kuwa katika maumbo mbalimbali kwa URAHISI, HARAKA na UFANISI nzuri sana. Mara ya mwisho nilimwona Fundi wa vyuma akitumia mashine hiyo kwenye luninga ya EATV katika kipindi cha ujenzi mwaka huu na nikavutiwa nayo sana. Mwenye kujua wapi zinapatikana mashine hizo na gharama yake anaweza akatujuza hapa.
 
Back
Top Bottom