Pole sana. Tatizo ni nini hasa?Hi
Kiukweli namawazo sana sana leo nimenusurika kugongwa na gari mara mbili mara ya kwaza ilikuwa pale mbuyu mara ya pili morroco binafso sioni humuhimu wa mim kuish naonea wivu wale waliontanguria mbele za haki mapambano yamekuwa magumu sana peke yangu siwezi kabisa
Mara ya kwaza nilitakaga kujirusha kwenye gorofa la NSSF posta kuna mtu akaniona sikuweza ila hali hii imekuwa ikijirudia sana mawazo kwangu hayaishi kila siku mambo mapya hakuna siku inayo isha vizuri kwangu
Sioni walau wakunishika mkono wala anae waza kuwa fulani yupo wapi na anafanya nini kuna muda sitamani kuwasilian na mtu yoyote hasa ndugu zangu naona kama wananichora
Hapa ndo atadata kabisapole sana mkuu pata muda wa kujumuika sana na watu usipende kukaa mwenyewe nenda hata week end cocobeach ukapunge upepo kisha iangalie bahari ukiwa unakumbuka yote yaliyokusibu piga kelele itokayo moyoni piga kwa nguvu lia ikiwezekana sema yote utakayo kama ni kutukana tukana baada ya hapo moyo utapoa.
Sasa mbona hujaleta uzi na id yako famous?? Kama kweli una shida inayohitaji msaada?One day utatumia sms namba hii usitumie tena mwenye namba marehemu
Shida nini? Sasa kama husemi shida nini ili tukishauri unaleta ujuaji na unataka tukubembeleze. Tuambie kwenu wapi ili tujeSijawai sumbuliwa na mapenzi kwasababu sio kipaumbele changu
Watu gani fafanuakaa karibu na watu