Thanks lady.
Wadau naombeni msaada wa ushauri, ni kampuni gani nitumie kukata bima ya gari? na pia kwa gari ya shs 9,000,000.00 (Milioni tisa) Comprehensive ni shs ngapi? msaada tafadhalini.
ukishukuru ujue na kutoa 380,000-270,000=110,000
10% ya 110,000 11,000 hii peleka kanisani
baki 99,000
hiyo tuangalie ndugu zako tuliokupa ushauri ukiwemo huu wa kanisani unatutoaje ??
Maxinsure pia ni wazuri,wepesi kushugulikia tatizo linapotokea
Jaribu Alexander FORBES hutajuta
Nimekusoma mkuu, itabidi niombe tigo zenu baadaye ili niweze kuwatumia lol.
Wadau naombeni msaada wa ushauri, ni kampuni gani nitumie kukata bima ya gari? na pia kwa gari ya shs 9,000,000.00 (Milioni tisa) Comprehensive ni shs ngapi? msaada tafadhalini.
Wadau naombeni msaada wa ushauri, ni kampuni gani nitumie kukata bima ya gari? na pia kwa gari ya shs 9,000,000.00 (Milioni tisa) Comprehensive ni shs ngapi? msaada tafadhalini.
Jaribu Alexander FORBES hutajuta
Kaka, ni sahihi alivyokuchaji, hata hizo comprehensive zinatofautiana, na kila company ina percentage. Comprehensive nzuri ni ile inayocover kila aina ya uharibifuAsanteni sana wakuu kwa ushirikiano wenu, huyu agent alitaka kunitoa shs. 380,000 kwa thamani ya m9, asanteni sana kwa ushauri wenu.
Jaribu Jubilee mkuu. Hiyo laki tisa kwa comprehensive ni 3% of 9,000,000 means 270,000 Tsh per year. All the best
...wakuu hii "Jubilee" ni hii The Jubilee Insurance Company of Tanzania Ltd inayotoa BIMA ZA AFYA au ni kampuni mbili tofauti?
"samahanini - kuuliza si ujinga...!"
Hao ni ma Insurance broker tu sio Insurance Company .......
Kuna tofauti gani? Mimi magari yangu yote nimeyawekea bima kupitia kwa hawa jamaa. Na kwai hapa nlipo NBC ndiyo wanatoa policy na steakers kwa niaba yao.