kzba
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 1,356
- 789
Wadau naombeni msaada wa ushauri, ni kampuni gani nitumie kukata bima ya gari? na pia kwa gari ya shs 9,000,000.00 (Milioni tisa) Comprehensive ni shs ngapi? msaada tafadhalini.
Mdau phonex ni zaidi ya makampuni ukipata ajali ndan siku 7 kila k2 kinakuwa poa alafu ukiwa mteja wao wa kudumu hata kama huna pesa bima imeisha wanakupa unalipa kidogokidogo mi najivunia hiyo kampuni kwa kweli hawa wengine michosho kama hiyo jubilee utajuta hao jamaa wasumbufu alafu wana nyodo balaa ukipata shida