Wadau naombeni msaada wa ushauri, ni kampuni gani nitumie kukata bima ya gari? na pia kwa gari ya shs 9,000,000.00 (Milioni tisa) Comprehensive ni shs ngapi? msaada tafadhalini.
Naamini MSALANI atatoa ushirikiano mzuri kwa hili kwani tigo yake anaitumia vizuri LOL
Au msikitinukishukuru ujue na kutoa 380,000-270,000=110,000
10% ya 110,000 11,000 hii peleka kanisani
baki 99,000
hiyo tuangalie ndugu zako tuliokupa ushauri ukiwemo huu wa kanisani unatutoaje ??
Nenda Mwanamilembe wako Viva tower they are the best hawana longo longo.....