Msaada: Ni app gani itaniwezesha kutuma ujumbe pale simu yangu haipokelewi?

teac kapex

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
470
136
Wakuu nahitaji kupata app itakayoniwezesha kutuma sms pale ambapo simu yangu haipokelewi, mfano simu yangu nikiwa nimeiweka chaji mtu akinipigia na kwa Vite sitakuwepo karibu na simu basi hiyo app imtumie sms ya kwamba mpigie Kwa namba hii yaani imuelekeze namba inayopatikana (inayopokelewa)
 
Hio kazi ni ya mtandao wa simu, unaweza Acha ujumbe wa sauti.

Pitia hapa
 
Back
Top Bottom