BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,494
- 4,079
La la la la la la la.Chunga sana usimuite Isabela,Daines,Robina,Diana,Lilian au majina yanayoanza na V(for ke),lasivo utalia maana atakuwa mgawa V mzuri.
Pinda for baby boy and makinda for baby gal.
amuwaange mamboro
ahahaaaa uuuwiiiiiau amuwaange kisaa
Kama ni baby girl, napendekeza majina yafuatayo:-
1. Siyawezi
2. Sikujua
3. Semeni
4. Sikitu
5. Shida
Yasingekuwepo walahi ninehamia huko yaliko!jf ina mambo ya ajabu