Msaada ndugu zangu nimechanganikiwa hapa

mchumi tumbo

JF-Expert Member
Mar 2, 2018
832
988
Wakuu simu yangu iliingia kwenye maji lakini niliiwahi kuitoa na ikaonyesha haina tatizo lolote,sasa hii jioni nimeweka charge haiingizi mpaka niizime na nikichomoa charge yaonyesha bado yaingiza,,,tatizo ni nini na hatua zipi nichukuw

Simu ni tecno cx air

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maji yatakuwa yameleta athari ktk mfumo wa charge iache kwanza kwa muda usiitumie au mpelekee fundi akaipige blower

'HOW MUCH IS TOO MUCH?'
 
ifungue utoe betri,kama home kuna mchele ichomeke humo bila betri ilale, hadi kesho asubuhi mambo yatakuwa mpwito! mpwito!
hauna hata haja ya kumsaka fundi,atakupiga tu mtonyo,ukifuata hayo maelekezo kesho ulete mrejesho hapa na shukrani kwa elimu!
 
Simu betri yake sio removable

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom