Eti waungwana,kuna dogo huku kitaa kapata chuo Mzumbe bt coz haielew elewi,ye alisoma pCB na matokeo yake ni dv 1 pts 9,anaulza ka anaweza kuhama chuo to Sua kupiga veterinary medicine?
Duh namshauri akakomae aachane na SUA nenda huko mzumbe m2 aliyekamua sayansi unakomaa sehemu yoyote ile mwana hapo utatoka tuu.achana na kilimo kwanza.

mwaka jana kuna mshkaj wangu alikuwa anataka Mipango akapangiwa Ustawi Jamii hapa dar, alifanya mishe akapata Mipango, japo mkopo ulichelewa ila alipata. Veternary medicine ipo fresh mi nilisoma sua.

kwa maelezo ya mshikaji. Ananimbia kuna mwl wa Mipango walikuwa wanajuana before so alimtumia as a bridge, kwa hiyo insue hizo ni chuo husika. Ninavyopajua pale sua, we nenda jaribu kuongea nao.