Msaada: Nawezaje kutumia WhatsApp account 2 kwenye simu moja?

Msaada: Nawezaje kutumia WhatsApp account 2 kwenye simu moja?

Mkuu cm yangu inagoma kupokea mtu akinipigia inaandika ivi UNFORTUNATELY DIALER HAS STOPPED napata shida sana msaada naomba.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Mimi natumia watsapp mbili mpk sasa ni mwaka mmoja natumia ogwatsap na watsap messenger kwa wale inaowazingua inabidi mufute watsap mesenger hlf udownload hyo gbwatsap au ogwatsap ukishainstall weka namba ikishafanya kazi sasa download watsap mesenger kwny play store enjoy!

Mm sikufuta watsap mesenger cz nlivodownload gbwatsap nikainstall km kawaida na watsap mesenger ilikuepo.
 
Nenda setting hapohapo kwenye whatsapp utaona neno account change account itakuletea simu namba ingiza iliyokuwa inatumika na badilisha kwenda namba unayotaka kw.muda huo
Hujamwelewa. Anataka ziwe hewani sio kubadili
 
Mkuu cm yangu inagoma kupokea mtu akinipigia inaandika ivi UNFORTUNATELY DIALER HAS STOPPED napata shida sana msaada naomba.
inabidi urestore hiyo cim.Angalizo unaporestore Kama unavitu vya muhimu uvihifadhi kingine maana ukifanya hivyo com inakuwa kana ilivyotoka dukani (mpya)
 
Mrejesho nashukuru nimefanikiwa kuweka WhatsApp 2 kwenye tablet yangu ya tecno droipad7 kwa hiyo sasa Nina WhatsApp messenger na GB WhatsApp

Kama unavyoona hizo ni account mbili tofauti

Hasanteni wataalamu kwa mchango wenu wa kiteknolojia
Eeh bwana eeh huyo kp Tameka yupo wapi now na vipi mipango yake ya kimziki maana sijamsikia tena au anatamba hukohuko kusini kwetu?
 
No lishafanya hivyo mkuu lakini haikubali, cjui tatizo ni nn hasa.
 
Mnao taka hiyo GB app mbona hiyo link hapo juu inafanya kazi fresh tu.
Na ni direct link.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Back
Top Bottom