Msaada: Nawezaje kutumia WhatsApp account 2 kwenye simu moja?

Msaada: Nawezaje kutumia WhatsApp account 2 kwenye simu moja?

Gbwhatsapp link hii GBWA v4.25-2.12.556 @atnfas_hoak.apk
1. fanya backup ya official whatsapp kisha unistall official whatsapp
2. ingiza hiyo gbwhatsapp na jisajili kwa namba yako ya kwanza
3. Ingiza official whatsapp na jisajili kwa namba yako ya pili.
NB:Hakikisha zote zipo hewani wakati unajisajili.
 
Ushauri: Gbwhatsapp ina chelewesha text hivyo njia rahisi ni hii nenda playstore dawnload app moja kati ya Disa au parrale space kisha jiunge na akaunti ya pili ya whatsapp.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Wakuuuu ,nimeshindwa ku-update gbwhatsapp,, msaada tafadhar
 
kuna kutumia Gb whatsap, lkn njia fupi ambayo haisumui ni kutumia application ya PARREL SPACE na DISA.... zipo PLAY STORE... verry easy to use
 
Back
Top Bottom